Ticker

6/recent/ticker-posts

WANAFUNZI WA GLISTEN ENGLISH MEDIUM WAMPONGEZA RAIS SAMIA


 Wanafunzi wa Shule ya mchepuo wa kingereza ya Glisten English medium pre primary School ya Mirerani Mkoani Manyara wamempongeza Mh Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwongozi wake 


Wakiimba Wimbo maalumu wamafunzi hao wa darasa lasaba ujumbe huo watoto wamemtaka Mh Rais Samia kuendelea kufungua nchi kwa utawala wake wa kusaifia  watanzania kukuza uchumi wa nchi 


Tukio hilo lilifanyika Glisten English Medium Mkoani Manyara wakati wa maadhimisho ya siku kuu ya wafanyakazi yaani Mei Mosi 


Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara Dkt.Suleiman Serera

Amepongeza uwongozi wa shule hiyo kwa kuwaanda watoro hao kua viongozi wazuri baadae na kutaka waalimu kuendelea kuwafundisha masomo ya utawala boraPost a Comment

0 Comments