Ticker

6/recent/ticker-posts

Breaking News, Sabaya na wenzake waachiwa na mahakama ya rufani

 


Na Mwandishi Wetu, Arusha 
Mahakama Kuu ya Kanda ya Arusha iliyoketi leo Mei5, 2022 imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa ya kupinga kuhukumiwa miaka 30 kwenda jela kila mmoja kwa sababu mbalimbali.
Sabaya na wenzake walikuwa wakipinga hukumu dhidi yao kwakuwa Mrufani namba mbili Silvester Nyegu na namba tatu Daniel Mbura hawakupewa haki ya kumhoji Shahidi namba mbili wa Jamhuri na kutokufanya hivyo kunawanyima haki yao ya msingi.

 Chanzo:Arusha press blog

Post a Comment

0 Comments