Mashabiki
wa timu ya Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha kampuni ya Bia
mkoani Arusha wakishangilia baada ya kuwashinda mashabiki wenzao wa Simba jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani
Jembe mkoa wa Arusha iliyowakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho.
Mashabiki
wa
timu ya Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha kampuni ya Bia
mkoani Arusha wakishangilia baada ya kushinda mashabiki wa Simba
katika mchezo wa kuvuta Kamba jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani
Mtani
Jembe mkoa wa Arusha iliyowakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho.
Makamu Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu(kushoto)
na Mjumbe Kamati Kuu ya timu ya Yanga,Mohamed Binda,wakicheza danadana wakati
wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe kwenye kiwanda cha Bia mkoani Arusha
jana.
Makamu Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu akipuliza
Vuvuzela jana kwenye kiwanda cha Bia ,mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa
kampeni ya Nani Mtani Jembe iliwakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho.
Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga ambao ni
wafanyakazi wa kiwanda cha kampuni ya Bia mkoani Arusha wakivuta kamba jana
wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliyowakutanisha wafanyakazi
wa kiwanda hicho
Wafanyakazi
wa kiwanda cha Bia,Arusha ambao ni mashabiki wa timu za Simba na Yanga
wakicheza mchezo wa Fossball jana kwenye uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliyofanyika kwenye kiwanda hicho.