DIWANI WA CHADEMA ACHAGULIWA KUWA NAIBU MEYA ARUSHA


Mbunge wa Mbozi Mashariki,David Silinde(shoto) ,Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha Amani Golugwa na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless wakiwa nje ya ukumbi mara baada ya kumalizika kwa shughuli ya uchaguzi wa Naibu Meya uliofanyika leo,Diwani wa Kata ya Daraja mbili ,Prosper Msofe aliibuka mshindi

Naibu Meya wa Arusha Prosper Msofe ambaye ni Diwani wa kata ya Daraja mbili kwa tiketi ya CHADEMA akizungumza baada ya kuibuka mshindi  katika uchaguzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Halmashauri ya Arusha,Meya wa jiji la Arusha Gaudience Lyimo (katikati) ,kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa jiji  Juma Iddi .


Naibu Meya wa jiji la Arusha ,Prosper Msofe ambaye ni Diwani wa kata ya Daraja mbili akizungumza baada ya kuibuka mshindi  katika uchaguzi wa Naibu Meya uliofanyika jana katika ukumbi wa Halmashauri ya Arusha .Picha na Ferdinand Shayo

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post