Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa
Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika makaburi ya
manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11,
2014.
Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa
Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania (JWTZ) Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa
ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11,
2014.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
,Jakaya Kikwete akiwasili kwenye mazishi ya la Meja
Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Muhidini
Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi. Kulia kwake ni
Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, aliyemwakilisha Mkuu wa Majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange ambaye yuko nje ya nchi. Kushoto kwa Rais
ni Brigedia Jenerali Amos Martin Kemwaga
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa
marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa
marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa
marehemu
Bendi ya JWTZ ikiongoza msafara kuelekea
kaburini
Askari wa JWTZ wakiwasili
makaburini
Ma-Meja wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa
Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania (JWTZ) huku wakisindikizwa Ma-Kanalki wakiwasili
makaburini
Jeneza likipelekwa kaburini tayari kwa
mazishi
Askari wa JWTZ wakiwa tayari kutoa heshima za mwisho za
Kijeshi pembeni mwa kaburi
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu
Muhiddin Mfaume Kimario likikabidhiwa viongozi wa dini kwa mazishi
kabla ya shughuli za kuagwa kijeshi
hazijaanza
Sehemu ya waombolezaji
Waombolezaji katika mazishi
Umati mkubwa wa wananchi wa manispaa ya Moshi na sehemu
zingine wakiwa katika mazishi
Mazishi
Sehemu ya wanahabari kwenye mazishi. Wa tatu toka kulia
ni Dixon Busagaga, mwakilishi wa Globu ya Jamii Kanda ya
Kaskazini
Brigedia Jenerali Ibrahim Kimario akiweka udongo
kaburini
Dua baada ya maziko
Watoto wa marehemu na ndugu wengine wa
karibu
Baada ya ndugu wakiongozwa na viongozi wa dini kumaliza
maziko, Askari wa JWTZ walichukua nafasi yao kuaga kwa heshima zote za
kijeshi ikiwa ni pamoja na kupigwa mizinga
Rais kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya
na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Msengi na Meja Jenerali
Ezekiel Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali
Davis Mwamunyange
Askari akitoa ishara wakati wa kupigwa
mizinga
"Last Post" ikipigwa
Meja Jenerali Ezekiel
Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi
jenerali Davis Mwamunyange akisoma salamu za rambirambi za
JWTZ
Rais Kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho
Sarakikya
Meja Jenerali Ezekiel
Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi,
akikabidhi salamu za rambirambi kwa mtoto wa
marehemu
Mtoto wa marehemu Mfaume Kimario akitoa
shukurani
Watoto wa marehemu wakifarijiana
Rais Kikwete akiwafariji watoto wa
marehemu
Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo
nyumbani kwa marehemu
Rais Kikwete akimfariji mjane wa
marehemu
Rais Kikwete akiwafariji familia ya
marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa
familia
Rais Kikwete akiaga waombolezaji
Rais Kikwete akiagana na
waombolezaji
Rais Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa CCM Ndg
Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg Nape Nnauye
wakati akiwa anaondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro
Rais
Kikwete akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Novatus Makunga kabla
ya kuondoka kurejea Dar es salaam. PICHA NA IKULU