Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili
Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Mama Getrude Shija, Mjane wa
Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo
Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo cha msiba
wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo
Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza ofisa wa Bunge wakati wa shughuli
za kutoa heshimam za mwisho kwa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza
shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam
Bw.
Saidi Yakubu, MC wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu Dkt
William Shija leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es salaam
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Anne
Makinga akiongea wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu Dkt
William Shija leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es salaam
Sehemu ya waombolezaji
Rais
Kikwete akipeana mikono na Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya
Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) baada ya kutoa salamu za rambirambi
kutoka makao makuu ya CPA jijini London.
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya
Madola (CPA) akimkabidhi binti wa marehemu vitabu vya maombolezo
vilivyotiwa saini na waombolezaji huko London
Uingereza.
Familia ya marehemu Dkt William Shija wakiwa katika
shughuli za kuaga mwili leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja
vya Karimjee jijini Dar es salaam