LAZIMA VIONGOZI WETU WAWATEMBELEE WAKULIMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, akizungumza na mmoja wa wakulima wa kahawa wilayani Kigoma Vijijini katika mojawapo ya ziara zake za kuhamasisha kilimo na kuhimiza wakulima kujiunga na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Picha na Mpiga Picha Wetu

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post