Jengo jipya linalojengwa na Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kukamilika kwake kutabadili taswira ya mji wa Moshi kwa kiasi kikubwa.Ni jengo ambalo limejengwa kisasa ambalo kukamilika kwake kutapendezesha mji wa Moshi. |
JENGO LA NSSF KUBADILI TASWIRA YA MJI WA MOSHI.
bywoinde
-
0