Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye
Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.tayari kwa
Mkutano wa Kampeni.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia
wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja
wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake, leo Oktoba 12,
2015.
Mwanasiasa
Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, akiwasalimia wananchi,
katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA,
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini
Mwanza leo Oktoba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi
kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba
12, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akikumbatiana na
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati
alipowajili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati
alipowajili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza
Wananchi
wa Jiji la Mwanza wakiitikia salam ya "Mabadilikoooo" katika Mkutano wa
Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward
Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo
Oktoba 12, 2015.
Meneja wa Kampeni za Chadema, John Mrema akiongoza Mkutano huo
Mgombea
Mwenza wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Juma Duni Haji,
akiwasalimia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akisalimia na
Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji, katika Mkutano wa Kampeni,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Nyamagana kwa tiketi ya Chadema, Hainesy Kiria
akihutubia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi
kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni