Msoma Utenzi akisoma Utenzi maalum wakati
wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo la Chumbuni Unguja uliofanyika
katika Viwanja vya Mabanda ya Ngombe Chumbuni Zanzibar.
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi akiwa
katika viwanja vya mkutano akishangilia na Picha ya Mgombea wake wa Ubunge
kupitia CCM Ndg. Ussi Salum Pondeza AMJADI wakati wa mkutano
huo
Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakiwa katika
viwanja vya mkutano wa Kampeni ya Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo hilo
uliofanyika viwanja vya Mabanda ya Ngombe Chumbuni Unguja.
Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani
wakiwapungia mikono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni wakati
msoma utenzi akitaja majina ya Wagombea.
Wanachama wa CCM wa Tawi la Masumbani Jimbo
la Chumbuni wakifuatilia mkutano huo wa kampeni uliofanyika viwanja vya
mabanda ya ngombe chumbuni Unguja
Mgombea Ubunge Jimbo la Mfenesini Kanali
Mstaaf Masoud akimtunza msoma Utenzi wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa Jimbo
la Chumbuni Unguja.
Katibu wa CCM Jimbo la Chumbuni akisoma
utaratibu wa mkutano huo wa kampeni wa jimbo hilo.
Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Chumbuni
Unguja Mhe Machano Othman, akiwasalimia Wananchi wa Jimbo hilo na kuwaombea
Kura Wagombea wote wa CCM wanaogombea katika Jimbo la Chumbuni kuazi Mbunge
Mwakilishi na Madiwani kuwa kura ya Ndio kuendelea maendeleo katika jimbo
hilo walioyawacha wao.kwa sasa anagombea Jimbo la Mfenesini nafasi ya
Uwakilishi
Mgombea Ubunge Jimbo la Mfenesini Kanal
Mstaaf Masaud, akiwasalimia Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakati wa Mkutano
wa Kampeni ya Uzinduzi ya Jimbo zilizofanyika katika viwanja vya mpira
mabanda ya ngombe chumbuni Unguja.
Mwenyekiti wa Wazazi Mkoa wa Kusini Unguja
Mhe Haji Ameir akizungua mkutano wa Kampeni wa Jimbo la Chumbuni Unguja
uliofanyika katika viwanja vya mpira mabanda ya ngombe chumbuni na
Kuwatambulisha Wagombea wa CCM wa Jimbo hilo.na kuwaombea Kura siku ya
Uchaguzi Mkuu kwa kura ya Ndio, pamoja na Rais wa Zanzibar Dk Shein, na
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe
Magufuli.
Wanachama wa CCM wakiwa katika viwanja vya
Kampeni wakishangilia na Vipeperushi vya wagombea wa Jimbo la Chumbuni
Unguja.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa
Kusini Unguja Mhe Haji Ameir akimtambulisha Mgombea Ubunge wa Jimbo la
Chumbuni Ussi Salum Pondeza AMJADI, wakati wa mkutano wa Kampeni wa Jimbo
la Chumbuni uliofanyika katika viwanja vya Mabanda ya Ngombe
Chumbuni.
Mgombea Ubunge Jimbo la Chumbuni Ussi Salum
Pondeza AMJADI akiwataka Wananchi wa Jimbo la Chumbuni kujiandaa na
Maendeleo katika Jimbo hilo katika kipindi chake cha miaka mitano kuweza
kulibandilisha Jimbo hilo katika maendeleo kwa Vijana na Wazee katika sekta
mbalimbali zikiwemo za Elimu, Maji, Kujiajiri Wenyewe na Afya. amewataka
kumpigia Kura ya Ndio kuweza kuwaletea maendeleo hayo.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni
akimwaga Serazake kwa Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakati wa mkutano wake
wa kampeni katika viwanja vya mpira mabanda ya ngombe chumbuni
Unguja.
Wanachama wa CCM wakishangilia wakati wa
mkutano wa kampeni wa Jimbo la Chumbuni Unguja
Wanachama wa CCM
wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa Jimbo la Chumbuni Unguja
wakati akihutubia Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo Ussi Salum Pondeza AMJADI,
uliofanyika viwanja vya mabanda ya ngombe chumbuni Unguja.
Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakifuatilia
Mkutano wa Kampeni wa Jimbo hilo uliofanyika viwanja vya mabanda ya ngombe
chumbuni.
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Chumbuni
Miraj Kwaza akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Chumbuni Unguja wakati wa
mkutano wa kampeni wa Jimbo hilo na kusoma baadhi ya vipengele vya Ilani ya
Uchaguzi ya CCM jinsi itakavyotekelezwa katika kipindi cha miaka mitano
ijayo ya Dk Shein.
Wanachama wa CCM wakishangilia wakati wa
mkutano huo wa Kampeni ya Jimbo la Chumbuni Unguja
Msanii wa Bendi ya Yamoto, akitowa burudani kwa Wanachama wa CCM wa Jimbo la Chumbuni wakati wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo hilo.
Wanachama wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo wa Kampeni ya Jimbo la Chumbuni Unguja
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa
Kusini Unguja Mhe Haji Ameir, akimtambulisha Mgombea Udiwani wa Wadi ya
Chumbuni, Ndg. Mussa Haji Idrisa kwa Wananchi wa Jimbo
hilo
Mgombea Udiwani Wadi ya Chumbuni Ndg Mussa
Haji Idrisa. akiwasalimia Wananchi wakati akitambulishwa na kuomba
Kura.
Mgombea Udiwani Wadi ya
MuembemakundiNdg Haji Juma, akiwasalimia Wananchi wakati akitambulishwa na
kuomba Kura.
Mgombea Udiwani Wadi ya
MuembemakundiNdg.Haji Juma. akiwasalimia Wananchi wakati
akitambulishwa na kuomba Kura.
Imetayarisha na OthmanMapara.Blogspo.
Zanzinews.com
Email othmanmaulid@gmail.com
Mobile. 0777424152 or
0715424152