Lengo la
Mkutano huo ilikuwa ni kuwakutanisha Dream Makers Pamoja Mantor's Wao
,Uongozi Na Wafanyakazi wa Manjano Foundation na Mkufunzi wa Maswala ya
Biashara kwa lengo la kutadhimini Maendeleo ya Mradi huo Tangu
Ulipoanzishwa Pamoja na Changamoto Mbalimbali wanazokutana nazo wakati
wa Kutekeleza Mradi Huo. 
Manjano
Drem Makers ni Mradi ulioanzisha kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye
Ujasiriamali.Mafunzo Chini ya Taasisi ya Manjano Foundation.Lengo la
Mradi huo ni kuwajengea Uwezo wanwake wa Kitanzania Kupitia Bidhaa
bidhaa za Vipodozi vya Luv touch Manjano kujisimamia na Kujikita kwenye
Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara kwa lengo la
Kumjengea uwezo Mwanamke wa Kitanzania.
Mpaka
sasa zaidi ya wanawake 25 Kutoka Mkoa wa Dar es salaam wamenufaika na
Mafunzo ya Ujasiriamali ya Namna ya Kuendesha Biashara zao na
wamewezeshawa Mitaji ya Kuanzisha Biashara zao kupitia Vipodozi vya Luv
Touch Manjano.




Picha ya
Pamoja Washiriki wa Mafunzo ya Ujasiriamali yaliochini ya Taasisi ya
Manjano foundation wakiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions
afrika Mama Shekha Nasser (Watatu kutoka kulia waliokaa),Mkufunzi wa
Maswala ya Biashara Felix Maganjila (wa Pili kulia waliokaa), Meneja
mradu huo Mama Franswaz Msinga (Wapili kutoka Kushoto waliokaa) Pamoja
na washauri wakuu wa wanawake walionufaika ma Mradi Huo