JIji la Arusha linazidi kukuwa kila siku na jinsi linavyozidi kukuwa ndio jinsi majengo marefu(magorofa) yanazidi kuongezeka gorofa hili ni moja ya mjengo ambao umezidi kuupendezesha jiji hili kwani limefanya jiji hili kuzidi kuvutia japo alijamalizika
wananchi wakiendelea na pilika pilika za mjini
kamera ya libeneke la kaskazini lilimnasa mdada huyu ambaye ni mwandishi wa gazeti la Jambo leo akiwa busy akisoma gazeti |