Mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea katika uwanja wa Kwaraha,wilayani Babati mkoani Manyara jioni ya leo,ambapo umati mkubwa wa watu ulijitokeza kusikiliza sera zake.PICHA NA MICHUZI JR-BABATI,MANYARA.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia na kujinadi kwa kijinadi kwa Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano huo wa hadhara
uliofanyika katika uwanja wa
Kwaraha,mkoani Manyara.
Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba kura za kutosha ifikapo Oktoba 25 Mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili awe Rais wa Tanzania wa awamu ya tano.Mkutano huo wa hadhara uliofana kwa kiasi kikubwa ulifanyika mjini humo katika uwanja wa Kwaraha,mkoni Manyara.
Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa
Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia
mjini humo mkoa wa Manyara.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Babati wakishangilia jambo wakati mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha
Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akijinadi mbele ya Wakazi wa mji
wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika katika uwanja wa
Kwaraha,mkoani Manyara.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea Ubunge,Mbunge wa Babati vijijini Ndugu Jitu Soni ambaye tayari alikwisha kabidhiwa kitabu cha Ilani ya CCM
Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.
Mgombea
Ubunge wa jimbo la Hanang,Mama Mary Nagu akimuombea kura mgombea Urais
wa CCM Dkt Magufuli kwa wakazi wa mji wa Babati mjini jioni ya leo
kwenye mkutano wa kampeni,uliofanyika katika uwanja wa kwaraha.
Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa
Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia
mjini humo mkoa wa Manyara.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa
Kondoa mapema leo mchana kwenye uwanja wa sabasaba,amapo mkutano wa
hadhara wa kampeni ulifanyika.Dkt Magufuli akitokea mkoani Singida
kuelekea mkoani Manyara kuendelea na kampeni zake za kusaka
Urais,aliwahutubia wakazi wa wilaya ya Chemba,wilaya ya Kondoa,na
vitongoji vingene kadhaa na hatimae kuibukia wilayani Babati na
kuhutubia mkutano mkubwa katika uwanja wa Kwaraha.