Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi.
Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Mwasenge, Jimbo la Musoma Mjini. Katika hotuba yake
aliwaomba wanaMusoma kuichagua CCM ili iweze kuunda Serikali kwani imepanga
kuboresha huduma mbalimbali za kijamii pamoja na ujenzi wa miundombinu eneo
hilo itakayochangia kukua kwa biashara anuai.
Alisema Serikali
itakayoundwa na CCM imepanga kujenga maeneo ya kisasa ya maegesho ya
meli (magati) Musoma na ndani ya miezi mitatu huduma ya maji
maeneo mbalimbali itapatikana kwa uhakika kutokana na kukamilika kwa mradi
wa maji eneo hilo. Aliongeza pia ili kuboresha huduma za Mwisenge zahanati
ya eneo hilo itabadilishwa mara moja na kuwa kituo cha
afya.
|
Kulia ni baadhi ya wasanii maharufu wa uigizaji
wakishangilia wakati Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi.
Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwasili katika viwanja vya
Mwisenge. |
|
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Sirari
wakifikisha ujumbe wao kwa Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan alipohutubia wananchi katika viwanja vya
Tarafa Sirari. |
|
Sehemu ya wanaCCM na wananchi wakimshangilia
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan
alipokuwa akiwahutubia Mwisenge, Musoma Mjini. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi.
Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya
Tarime, Rashid Bugomba alipowasili Sirari kwa mkutano wa kampeni kuinadi
CCM eneo hilo.. |
|
Wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia wananchi
Kata ya Sirari |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi.
Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwatambulisha baadhi ya wagombea ubunge wa
Wilaya ya Tarime kwenye Mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya
Sirari. |
|
Ni mwendo wa 'PUSH UP' baadhi ya wananchi
wakipiga 'Push Up' kwenye mkutano wa mgombea mwenza Sirari kuonesha kuwa
wapo 'fit'. |
|
Sehemu ya wanaCCM na wananchi wakimshangilia
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan
alipokuwa akiwahutubia Mwisenge, Musoma Mjini. |
|
Sehemu ya wanaCCM na wananchi wakimshangilia
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan
alipokuwa akiwahutubia Mwisenge, Musoma Mjini. |
|
Wananchi wakisikiliza hotuba ya baadhi ya
viongozi wa CCM Wilaya ya Musoma. |
|
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika
mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM Viwanja vya
Mwisenge. |
|
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika
mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM Viwanja vya
Mwisenge. |
|
Aliyekuwa mbunge wa CCM, Jimbo la Nkenge, Asumpta
Mshama akizungumza na wananchi katika viwanja vya Mwisenge. |
|
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie na wananchi
wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM
Viwanja vya Mwisenge. |