MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA TANZANIA YETU

Mtoamada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude Mongela. Mdahalo huo uliorushwa moja kwa moja na Kituo cha Televisheni cha ITV. Picha na Said Ng’amilo.
Washiriki waliohudhuria katika mdahalo kuhusu Amani Umoja na Haki uliofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana.
Mwendesha mdahalo.
Watoto waliohudhuria katika katika Mdahalo kuhusu Amani Umoja na Haki.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post