Sehemu ya wananchi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa CCM, Jimbo la Mwibara leo. |
Mmoja wa Wajumbe wa Kamati ya Kampeni ya Chama Cha Mapinduzi Taifa akizungumza kunadi sera za chama hicho katika mkutano uliofanyika Mjini Mugumu Wilaya ya Serengeti leo. |
wananchi na wanaCCM Mji wa Mugumu, Wilaya ya Serengeti wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa hadhara leo. |
Mmoja wa mwangalizi maalumu wa masuala ya Uchaguzi Mkuu akiendelea na kazi katika mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika Mugumu leo. |
Sehemu ya msafara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu pamoja na viongozi, wa CCM wakiwa meza kuu. |