Yusufu Makamba Amla Nyama Kingunge; “Ukitaka Kumtukana Baba Yako Mshukuru Kwanza”

Katika mkutano mkuu wa uzinduzi wa kampeni za mgombea ubunge wa Tabora mjini ndg Emmanuel Mwakasaka, Katibu mkuu mstaafu wa CCM Taifa mzee Yusufu Makambakama mgeni rasmi azungumzia mengi ikiwa kumnadi Mgombea Urais, mgombea Ubunge na madiwani wote wa CCM, pia azungumzia suala la Kingunge na Lowassa katika mkutano uliofanyika kituo cha zamani cha mabasi mkoani Tabora.
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (27)
Yusufu Makamba, mkongwe wa siasa nchini akiongea na wananchi wa Tabora mjini.
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (28)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (29)
Yusufu Makamba akizungumzia upotofu mkubwa dhidi ya Kingunge aliyedai kuwa CCM imekosa pumzi baada ya kuihama CCM huku yeye mwenyewe ndiye aliyekuwa miongoni mwa waandishi mbalimbali wa vitabu vya mielekeo mbalimbali ya chama na waandamizi wa kubwa wa CCM. "...aliingia CCM akiwa na meno na ametoka CCM akiwa hana meno... yeye ndiye asiye na pumzi CCM bado iko imara na ina pumzi ya kutosha..." Alisema Makamba
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (31)
Miongoni mwa vitabu vingi alivyoviandika Kingunge (aliyekuwa mmiliki wa kadi namba 8 ya CCM) ambaye hivi sasa amejitoa uanachama wa CCM
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (30)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (36)
Makamba (Kushoto) akimtaka Rage (Mbunge anayeachia madaraka) kuzungumza machache na wananchi.
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (37)
Mwakasaka (Kushoto-Mgombea Ubunge) na Rage. Wawili hawa waliokuwa mahasimu katika kusaka kura za maoni za kupewa ridhaa ya kugombea ubunge mjini Tabora wakiwa pamoja jukwaani na kuonesha kwamba wako pamoja huku ndg Aden Rage akimuombea kura za ushindi ndg Mwakasaka.
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (33)
Yusufu Makamba akimuonya mgombea ubunge Ndg Mwakasaka kutoleta lelemama kwa wananchi wenye ridhaa ya kumpigia kura za ubunge
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (18)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (19)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (20)
Kushoto: Munde Tambwe (Mbunge mtarajiwa wa Viti maalum mkoani Tabora) na mbunge anayemaliza muda wake Ndg Aden Rage wakifuatilia jambo.
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (24)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (25)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (39)
Ndg. Mwakasaka akiomba kura kwa wananchi waliokusanyika kwa wingi kusikiliza sera za mgombea wao katika uzinduzi huo uliofanyika katika kituo cha zamani cha mabasi Tabora.
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (38)
Mwakasaka akisisitiza jambo kwa wananchi.
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (40)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (35)
Kwa nyakati tofauti, mzee Yusufu Makamba katika picha ya juu na chini alitumia muda wake kuwanadi wagombe udiwani wa jimbo la Tabora mjini
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (34)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (32)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (26)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (22)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (41)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (17)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (23)
******
Mzee Yusufu Makamba (Katibu mkuu mstaafu wa CCM Taifa) akiwa Unyamwezini mkoani Tabora jana kama mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa uzinduzi wa kampeni za kisiasa za mgombea wa ubunge jimbo la Tabora mjini ndg Emmanuel Mwakasaka kwa tiketi ya CCM ulifanikiwa hasa kwa kuhakikisha anamla nyama zote mzee Kingunge kufuatia kujing'atua katika chama cha CCM alichokitumikia kwa miaka mingi sana.
Mzee Yusufu Makamba kama mgeni rasmi wa mkutano huo alisisitiza kuwa wananchi wahakikishe wanawapa kura zao wagombea wa CCM ili serikali ijayo iendeleze mikakati iliyopo na ijayo katika kuijenga nchi ya Tanzania na si Vinginevyo.
Picha na: Aoyson-TBN

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post