Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB katika matawi ya Nelson Mandela na Mawenzi wakiwasili katika hosptali ya rufaa ya KCMC . |
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Emanuel Kashusho akizungumza jambo na afisa habari wa hospitali ya rufaa ya KCMC Gabriel Chiseo.(Kulia). |
Afisa Uhusiano wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa Benki ya NMB,matawi ya Moshi mjini waliotembelea hosptalini hapo kutoa zawadi na kuwapa pole wagonjwa. |
Wafanyakazi wa NMB Moshi wakimsikiliza afisa habari wa KCMC,Gabriel Chiseo (Hayupo pichani). |
Wafanyakazi wa Benki ya NMB matawai ya Moshi wakishusha zawadi tayari kugawa kwa wagonjwa katika hospitali ya Rufaa ya KCMC. |
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela,Emanuel Kashusho akizungumza lengo la kufika katika hosptali hiyo. |
Wafanyakazi wa Benki ya NMB,wakiwa wamebeba zawadi tayari kugawa kwa wagonjwa waliolazwa katika hosptali ya rufaa ya KCMC. |
Wafanyakazi wa NMB Moshi wakigawa zawadi kwa agonjwa. |
Wodi zote katika hosptali hiyo zilifikiwa. |
Wafanyakazi wa Benki ya NMB Moshi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya zoezi la kugawa zawadi kwa wagonjwa kumalizika. |