October 12 ndio siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenda michezo wote Tanzania, kwani chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania TASWA
ndio siku ambayo kilitangaza kuwa kitatoa tuzo kwa wanamichezo
waliofanya vizuri katika kipindi cha miaka 10 sambamba na tuzo ya
heshima kwa Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake katika kuinua michezo Tanzania. Hizi ni pichaz za mwanzo kutoka Mlimani City mahali ambapo zitatolewa tuzo hizo.
Baadhi ya waalikwa wakiingia ukumbini
Kocha wa Taifa Stars (kulia) akiongea na muandishi wa habari mkongwe Abdallah Majula
Nahodha wa zamani wa Taifa Stars Shadrack Nsajigwa
Mchambuzi wa soka Geff kutokea Azam Tv
Mkurugenzi wa ufundi wa Azam FC Saad Kawemba wa kulia
Rais wa zamani wa TFF Leodger Tenga akiwa na Rais wa sasa Jamal Malinzi
Selestine Mweigwa na Tenga wakiteta jambo
Waendesha shuhuri (MC) Maulid Kitemnge na Chacha Maginga
Mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto
Maulid Kitenge
Johnson Jabir na Twalib Omar
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura
Kutoka kushoto Meneja masoko wa TFF Peter Simon, Nadir Haroub Canavaro na Afisa habari wa TFF Baraka Kizuguto
Kalunde Band wakitoa burudani
Bondia Francis Cheka
Mtangazaji wa The Mboni Show Mboni Masimba alikuwa miongoni ya wageni waalikwa.