Mbunge wa Monduli Julius Kalanga akizungumza na Wanafunzi wa shule
ya Sekondari Moringe iliyoko wilayani huko jana wakati wa mahafali ya
kidato cha sita
wanafunzi wahitimu wakiwa wanasikiliza amgeni rasmi kwa makini
mgeni rasmi ambaye ni mbunge Monduli Julius Kalangaakiwa anagawa cheti kwa mmoja wa mwanafunzi aliyemaliza (picha na woinde shizza,Monduli)