MADHARA YA KUTAMANI WASICHANA USIYO WAJUA

Katika Karne ya sasa vijana wengi wamekuwa na tabia ya kutafuta uhodari  wa nani zaidi kwenye tasnia ya mapenzi,  hivyo wakati kijana anapo jikita kwenye mapenzi kama unavyo jua mapenzi yalivyo na nguvu,  anashindwa kuvumilia na kujiwekea misimamo yaani kutulia na msichana ambaye tayari kamfanyia uchunguza wenye kina.

Tamaa! ni mbaya, kupenda sio vibaya ila unapaswa kufanya uchunguzi kabla ya kupenda na sio kutamani! Ili ujue  ulipo penda ni sahihi au laa!. Unaweza kupenda ulipo tamaniwa  shida ndipo huanza, sio hivyo tu unaweza ukapenda mzuka /jini/shetani nk. Mwishowake huwa ni majuto.

Kumbuka umakini na msimamo katika mapenzi  vinamsaada mkubwa sana katika karne hii (usipende usicho kijua) Ukitazama hiki kipande cha video kilicho andaliwa 2017 na Vicent Petro  a.k.a Mr. Kiraka, Ziada Mgwassa a.k.a “Zaydar”  & Moses,  utajifunza kuwa sio kila kinacho ng’aa ni dhahabu!. Tunaomba support yako kwenye video hii ili iwafikie walengwa wetu! Asante.

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.