HAYA NDIO ALIYOYASEMA P FUNK MAJANI JUU YA SKENDO YA MTOTO WAKE PAULA
Moja kati ya issues ambazo zimetrend kinoma wiki iliyopita ni pamoja na hii skendo ya Ngono ya binti anayesemekana kuwa ni Paula mtoto wa muigizaji Kajala na producer mkongwe P Funk Majani.

 P Funk Majani alidai kwamba endapo angekuwa ni binti yake wala asingeweza kusikika kwenye vyombo vya habari na badala yake ange deal na huyo mwanaume aliye kwenye video hiyo na kufuata mambo ya kisheria zaidi.

Play hii video hapa chini kusikiliza interview ya dakika 6 na sekunde 43 ambayo Perfect Crispin alifanya na P Funk Majani.


About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.