MAMBO YALIVYONOGA KATIKA SENDOFF YA MUNIRA BAWAZIRI,MKE MTARAJIWA WA KATIBU WA APC JIJINI ARUSHA BWANA AMIRI MONGI.


Wakwanza kushoto ni ndugu Amin Mongi,akifuatia na  pili kushoto ni Katibu wa Arusha Press Club(APC) ndugu Amir Mongi (bwana harusi mtarajiwa)akiwa na mkewe mtarajiwa ,Wa kwanza kulia  bi Millen Amin ,siku ya sendof Jijini Arusha.Picha na Vero Ignatus Blog

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.