Ticker

6/recent/ticker-posts

HIVI NDIVYO HARUSI YA KATIBU WA ARUSHA PRESS CLUB(APC) AMIR MONGI ILIVYONOGA WAKATI AKIFUNGA PINGU ZA MAISHA NA BI MUNIRAH BAWAZIRI


Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akiwa na mkewe siku ya ndoa yao katika ukumbi wa Mamba Complex Marangu Mkoani Kilimanjaro.

Bi Munira mke halali wa Amir Mongi akiwa na mumewe Amir Mongi siku ya sherehe ya ndoa yao jumamosi katika ukumbi wa 
Mamba Complex Marangu mkoani Kilimanjaro.


 Amir Mongi akimvisha pete mewe Munirah Bawaziri siku ya ndoa yao ,katika sherehe iliyofayika kwenye ukumbi wa Mamba Complex Marangu Kilimanjaro januari 2017
Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akivishwa pete na mkewe Munirah Bawaziri katika sherehe ya ndoa yao ,iliyofanyika katika ukumbi nwa Mamba Complex  Marangu Mkoani Kilimanjaro.

Amiri Mongi akimkumbatia mkewe Munirah Bawazir 
Maharusi wakiwa wanapata chakula pamoja na waandishi wa habari kuroka Jiji la Arusha..
Sherehe inaendelea.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka Jijini Arusha wakiwa wamesimama na mmoja wao aliyevaa gauni la njano Pamella Mollel akiwa anazungumza kwa niaba yao


 Wakilisakata rumba katika sherehe hiyo pamoja na maharusi 


MC Kiko akiwa anateta jambo na mmoja wa wazee wa upande wa bwana harusi katika sherehe hiyo,ambapo naye alikuwa msema chochote siku hiyo.

Pongezi mbalimbali zikiendelea kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki.



































Post a Comment

0 Comments