RAIS WA ZANZIBAR MH:DKTALI MOHAMMED SHEIN NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU UVCCM IKULU ZANZIBAR.

  Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohammed Shein wa kwanza kushoto akizungumza na viongozi wa UVCCM pili kushoto  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka na wakwanza kulia ni  Naibu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Zanzibar Abdulhafar Idrissa Juma  Ikulu mjini Zanzibar.
 Picha ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt Ali Mohammed Shein pamoja  na kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar
  Picha ya pamoja ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohammed Shein na kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka wa kwanza kushoto pamoja na  Naibu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Zanzibar Abdulhafar Idrissa Juma wa kwanza kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohammed Shein akiagana  na kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia