Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo LAND O’ LAKES Dkt. Rose
Kingamkono akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu
mradi wa uhamasishaji usawa wa kijinsia katika kilimo, uhakika wa
chakula na lishe leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mtafiti kutoka
Taasisi ya Taaluma ya Maendeleo UDSM Profesa Bertha Omari Koda.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo LAND O’ LAKES Dkt. Rose
Kingamkono akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) kitabu
kinachotumika kutoa elimu juu ya usawa wa kijinsia katika sekta ya
kilimo, sheria za kimila leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni
Mhadhiri wa Shule Kuunya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma
(SJMC) Bw. Dotto Kuhenga, Mtafiti kutoka Taasisi ya Taaluma ya Maendeleo
UDSM Profesa Bertha Omari Koda na Mtaalamu Mwelekezi wa masuala ya
Jinsia,Utawala Bora na Maendeleo kutoka LAND O’ LAKES Bibi. Margreth
Henjewele.
Mtafiti
kutoka Taasisi ya Taaluma ya Maendeleo UDSM Profesa Bertha Omari Koda
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano wao na
waandishi hao(hawapo pichani) kuhusu mradi wa uhamasishaji usawa wa
kijinsia katika kilimo, uhakika wa chakula na lishe leo jijini Dar es
Salaam.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la
Maendeleo LAND O’ LAKES Dkt. Rose Kingamkono na Mtaalamu Mwelekezi wa
masuala ya Jinsia,Utawala Bora na Maendeleo kutoka LAND O’ LAKES Bibi.
Margreth Henjewele.
Mhadhiri
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Sehemu ya Uandishi wa Habari na
Mawasiliano ya umma –SJMC) Bw, Dotto Kuhenga akionyesha waandishi wa
habari kitabu cha mwongozo wa waandishi wa habari katika utekelezaji wa
mradi wa uhamasishaji usawa wa kijinsia katika kilimo, uhakika wa
chakula na lishe leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo LAND O’ LAKES Dkt. Rose
Kingamkono na Mtafiti kutoka Taasisi ya Taaluma ya Maendeleo UDSM
Profesa Bertha Omari Koda (kulia).
Mtaalamu
Mwelekezi wa masuala ya Jinsia,Utawala Bora na Maendeleo kutoka LAND O’
LAKES Bibi. Margreth Henjewele akitoa ufafanuzi kuhusu mradi wa
uhamasishaji usawa wa kijinsia katika kilimo, uhakika wa chakula na
lishe leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Kimataifa la Maendeleo LAND O’ LAKES Dkt. Rose Kingamkono.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia