Ticker

6/recent/ticker-posts

HIVI NDIVYO JINSI SHEREHE YA ANGLE RWEKAZAURA WA ARUSHA AKIVISHWA PETE YA UCHUMBA NA MAXIMILLIAN MUYA ILIVYOFANA

  Bi,Angle Rwezaura   wa Arusha akivishwa pende
ya uchumba na Maximililan Muya  pia wa Arusha wakati wa hafla iliyofanyika
nyumbani kwa mjomba wake Tito Kasere kunduchi Beach jijini Dar es Salaam,
wachumba hao wanategemea kufunga ndo yao Takatifu  hivi karibuni  mkoani
Arusha.

 Bi,Angle Rwezaura   na Maximililan Muya  wakinyweshana shampeni  wakati
wa hafla ya kuvishana pete ya uchumba iliyofanyika nyumbani kwa mjomba wake
Tito Kasere kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
 Mshenga wa upande wa Bwana harusi mtarajiwa Maximillian Muya ..
akiwakilisha fedha za mahari kwa familia na Bi, Angle Rwezaura kabala ya
kufanyika hafla ya kuvishwa pete ya uchumba bi Angle.
 Bwana harusi mtarajiwa Maximillian Muya  akibusu pete ya uchumba
kwenye kidole cha mchumbawake  Angle Rwezaura  , baada ya kumvisha pete
hiyo  kwenye  hafla iliyofanyika nyumbani kwa mjomba wake Tito Kasere
kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, wachumba hao wanategemea kufunga ndo
yao Takatifu  hivi karibuni
 MAANDALIZI YA NDOA: Bi,Angle Rwezaura   wa Arusha akivishwa pende
ya uchumba na Maximililan Muya  pia wa Arusha wakati wa hafla iliyofanyika
nyumbani kwa mjomba wake Tito Kasere kunduchi Beach jijini Dar es Salaam,
wachumba hao wanategemea kufunga ndo yao Takatifu  hivi karibuni  mkoani
Arusha.
 Shangazi wa Angle Rwakazaura mrs Tito Kasere( kulia)akikabidhiwa
vitenge na mzazi wa Maximillian Muya  mrs Muya  wakati wa hafla ya
kukabidhi mahari na kuvishwa pete iliyofanyika kunduchi Beach jijini Dar es
Salaam.
 Angle Rwezaura    pamoja na mchumba wake   Maximillian  Muya  wakiwa
katika picha ya pamoja na Wazazi wa Ange wakati wa hafla ya kuvishwa pete
ya uchumba  iliyofanyika nyumbani kwa mjomba wake Tito Kasere kunduchi
Beach jijini Dar es Salaam
  Bi,Angle Rwezaura  na mchumba wake  Maximililan Muya   wakiwa katika
picha ya pamoja na wazazi wa  Maximillian  wakati wa hafla ya  kuvishwa
pete ya uchumba  iliyofanyika nyumbani kwa mjomba wake Tito Kasere kunduchi
Beach jijini Dar es Salaam

Post a Comment

0 Comments