BREAKING NEWS

Friday, January 13, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI MKOANI SHINYANGA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akivuta utepe kwenye jiwe la ufunguzi wa kiwanda hicho cha kutengeneza mifuko ya Sandarusi cha Fresho Investment Compaany limited cha Mkoani Shinyanga. Kulia ni mmiliki wa Kiwanda hicho Fred Shoo.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Kiwanda cha kutengeneza vinywaji cha Jambo food product mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimsikiliza mmiliki wa wa kiwanda hicho cha Fresho,  Fred Shoo kuhusu malighafi ya kutengenezea mifuko ya Sandarusi.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiangalia moja ya hatua ya utengenezaaji wa mifuko ya Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiangalia moja ya hatua za mwisho katika utengenezaaji wa mifuko ya Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Kiwanda cha kutengeneza mifuko ya Sandarusi cha Fresho Investment Compaany limited cha Mkoani Shinyanga. Wengine katika picha ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga  Zainabu Taleck wakwanza kulia mwenye kilemba , mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele wakwanza kushoto, pamoja na mmiliki wa kiwanda hicho Fred Shoo watano kutoka kulia.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiangalia na kukagua  utendaji kazi wa maabara ya kiwanda hicho cha kutengeneza mifuko ya Sandarausi mkoani Shinyanga.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa amechuchumaa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa Kiwanda hicho cha Kutengeneza mifuko ya Sandarusi mkoani Shinyanga.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia kwa kuwapungia mkono wakazi wa Igunga mkaoni Tabora. PICHA NA IKULU


Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates