TIGO KILI HALF MARATHON 2017 YAZINDULIWA RASMI MJINI MOSHI

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa Uzinduzi wa Tigo Kili Half Marathon 2017uliofanyika juzi mjini Moshi. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Caroline Kakwezi, Meneja Mauzo wa TBL Mkoa wa Kilimanjaro, Richard Temba na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba ambaye alikuwa mgeni rasmi.

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata akipeana mkono na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa Uzinduzi wa Tigo Kili Half Marathon 2017 uliofanyika juzi mjini Moshi. katikati ni , Meneja Mauzo wa TBL Mkoa wa Kilimanjaro, Richard Temba 



Baadhi ya wafanyakazi wa Tigo mkoani Kilimanjaro wakishuhudia Uzinduzi wa Tigo Kili Half Marathon 2017uliofanyika juzi mjini Moshi


About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia