IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (wapili kulia), akimkabidhi Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (katikati), mchoro wa ramani y...
Read More

BODI YA WADHAMINI YA TANAPA IKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAKE JENERALI (MSTAAFU) WAITARA YATEMBELEA HIFADHI YA KATAVI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), na wajumbe wa bodi hiyo, wakikaribishwa na Mhifadhi Mku...
Read More

NASSARI ,LEMA WAKUBALI KUPELEKA USHAHIDI TAKUKURU

Wabunge wa Chadema, Godbless Lema na Joshua Nassari wamesema watapeleka kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ushahidi ku...
Read More

MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MAKUMBUSHO MAPYA YA OLDUVAI NA ONESHO LA CHIMBUKO LA MWANADAMU

Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya imekamilisha ujenzi wa Makumbusho ma...
Read More

CHINA YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SH. BILIONI 29.4 KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (wa pili kulia) na Kaimu Balozi wa China Nchini Tanzania, Mhe. Gou Haodong (...
Read More

TAMASHA LA TIGO FIESTA LAFANA MKOANI TABORA

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza kuhusu usalama wa watu na mali zao ulivyoimalishwa  kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ...
Read More

TANGA CEMENT YATOA MIFUKO YA SARUJI 660 KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAJENGO KOROGWE NA MAABARA KATA YA MLALO LUSHOTO MKOANI TANGA

  Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga kushoto akimkabidhi mifuko 500 ya Saruji Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji,...
Read More

JAFO: WATENDAJI MSILETE LELEMAMA USIMAMIZI MIRADI YA MAENDELEO

  Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua Kituo ch...
Read More