NILIKUWA NA NDOTO YA KUMTUMIKIA MUNGU :HARMONIZE

  "Nilikuwa na ndoto siku moja nyimbo zangu zipigwe makanisani katika kumtukuza Mungu, Taifa letu linamalezi na makuzi ya kipekee tangu mwasisi wetu Baba wa Taifa hadi Rais wa awamu ya 6, Samia Suluhu Hassan, nashukuru hilo limetimia" Harmonize akijibu swali la mtangazaji wa Jembe Fm Mwanza, Natty E Brandy baada ya kuulizwa alijisikiaje Mtumishi wa Mungu Geor Devie kuucheza wimbo wake madhabahuni kwenye kanisa lake huku akimtabiria makuu na wa


umini wakishangilia

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post