SPIKA WA BUNGE ATEMBELEA KABURI NA KUZUNGUMZA NA MJANE WA ALIEKIWA RAISIWA TANZANIA AWAMU YA TANO

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amemtembelea na kuzungumza na Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano hayati Dkt. John Magufuli, Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake Wilayani Chato Mkoani Geita leo Machi 16, 2022.

 

Spika Dkt. Tulia pia ametembelea kaburi la hayati Magufuli pamoja na kusaini kitabu cha kumbukumbu.




Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post