Mh.
Margaret Sitta akichukuliwa damu kwa ajili ya vipimo na mshauri wa afya
kutoka hospitali ya Aga Khan kwenye jengo la Bunge. Zaidi ya wabunge
200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima
afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh.Seif Rashid.
Waziri
wa Ofisi ya Rais, Prof. Mark Mwandosya akijiandaa kupimwa urefu na
mshauri wa afya kutoka hospitali ya Aga Khan kwenye jengo la Bunge.
Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya
afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo
liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh.Seif Rashid.