Akinamama
wa kijiji cha Igalula mkoani Kigoma, wakicheza ngoma ya asili, wakati
wa mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe (kushoto), baada ya kuwasili kijijini hapo,
ambako alihutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM
Wananchi
wa kijiji cha Igalula mkoani Kigoma, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe wakati alipokuwa
akiwahutubia katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma, katika
mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwakabidhi kadi za Chadema waliokuwa viongozi wa CCM wa serikali ya
kijiji cha Kapalamsenga katija jimbo la Mpanda Vijijini, baada ya
kujiunga na Chadema katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM
Badhii
ya waliokuwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa serikali ya
kijiji cha Kapalamsenga katika jimbo la Mpanda Vijijini, wakimkabidhi
kadi za CCM Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe, walipoamua kujiunga na Chadema, baada ya mkutano wa
Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kijijini Hapo
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akisalimiana na Bi. Mariamu Ramadhani (86), baada ya kuwasili katika
kijiji cha Kapalamsenga mkoani Katavi, ambako alihutubia mkutano wa
hadhara wa Oparesheni Delete CCM
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Zanzibar), Salumu
Mwalimu akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma,
katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM
Waliokuwa
viongozi wa serikali ya kijiji cha Kapalamsenga kupitia CCM,
wakionyesha kadi zao kabla ya kuzikabidhi kwa Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, walipojiunga na chama
hicho wakati wa mkutano wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kijiji
hapo