Innocent Munyuku enzi za uhai wake. |
HAFIDH KIDO ANASEMA...
What is going on here?....someone called me but am not yet to believe this..
KAMBI MBWANA ANASEMA HIVI...
Namjua
Sana Kaka Innocent Munyuku. Alikuwa Mmoja Wa Watu Walionijenga Katika
Tasnia Ya Habari. Kupokea Kwa Taarifa Ya Kifo Chako Kilichotokea Usiku
Wa Kuamkia Leo Nimeshtushwa Sana. Pumzika Kwa Amani Kamanda Munyuku.
Umetuacha Wapweke Komrade. Mimi Na Wadau Wote Wa Taasisi Ya Handeni
Kwetu Foundation Tumepokea Taarifa Hizi Kwa Masikitiko Makubwa, Hapa
Handeni, Mkoani Tanga. Poleni Sana New Habari 2006 Ltd, Poleni Sana
Waandishi Wote Duniani.