Mkuu
wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiukaribisha ujumbe wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa
Pwani kujionea fursa za uwekezaji.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiongozana na ujumbe wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa
Pwani kujionea fursa za uwekezaji.
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Mgeni Baruani akizungumza akizungumza
wakati wa mkutano uliowakutanisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka
nchini Ubelgiji na Uongozi wa Mkaoa wa Pwani.
Ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ukiwa katika mkutano wa pamoja na viongozi wa Mkoa wa Pwani.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara kati ya Tanzania na Ubelgiji, Otieno Igogo.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akizungumza wakati wa Mkutano
uliowakutanisha viongozi wa mkoa huo na ujumbe wa wafanyabiashara na
wawekezaji kutoka Ubelgiji.

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika mkutano huo.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika mkutano huo.
Ujumbwa wa Tanzania ukiwa katika mkutano huo.
Kamishina wa Biashara kutoka Ubalozi wa Ubelgiji nchini, Ivan Korsak akizungumza katika mkutano huo.
Kamishina
wa Biashara kutoka Ubalozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Ivan Korsak
akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wafanyabiashara na wawekezaji
kutoka Ubelgiji na uongozi wa Mkoa wa Pwani waliofika kuangalia fursa
za uwekezaji mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza (kushoto) akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
Shangwe Tamala akitoa mada kuhusu vivutio vya kitalii na maeneo ya uwekezaji katika mkoa wa Pwani.
Ujembe wa Tanzania na Ubelgiji ukiwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wawekezaji kutoka Ubelgiji, Jean-Christophe Van Acker akizungumza wakati wa mkutano huo.
Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji wakiwa mjini Bagamoyo wakiangalia maeneo ya uwekezaji.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akimkabidhi zawadi, mmoja wa wawekezaji kutoka Ubelgiji, Yvan De Coninck.
Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dk. Diodorus Buberwa Kamala.
Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dk. Diodorus Buberwa Kamala.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (wa tatu kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wawekezaji kutoka Ubelgiji.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia