MAZUU KUACHIA 'SIRI' YA BARNABA NA VANESSA MDEE KESHO REDIONI





Mwaka wetu huu!!!
Singer Name :- Barnaba ft Vanessa Mdee 
Song Name:- Siri 
Country :- Tanzania
Genre :- Afro Pop
Studio :- Mazuu Records
Kesho ndo Kesho Kupitia Xxl Ya Redio Clouds fm Na Redio station zote Tanzania Kenya Uganda Na Rwanda Bila kusahau Burundi na Redio Stesheni Kubwa Nchini Nigeria The beat 99.9 Fm | The Heartbeat of Lagos itachezwa Kesho....Redio Rwanda Pia....
Redio za Namibia kama Vile
Radio wave 96.7 FM is # 1 hit Music Station, and Largest Commercial Radio..
Including Kosmos 94.1 FM, fresh FM, West Coast 107.7 FM, Hit Radio Namibia 99.5 FM iko Windhoek...... By Entertainment Manager Lawize

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post