Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mwenyekiti wa TPSF, Dkt. Reginard Mengi, wakati
alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Novemba 5,
2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji
Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta isiyo rasmi ya TPSF.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji
Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta isiyo rasmi ya TPSF,
lililofanyika leo Novemba 5, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam.