Waziri
Mkuu Mizengo Pinda wa tatu kutoka kulia akibonyeza namba ya simu kwa
ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa madawati
nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan
Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa
hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares
Salaam.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda (kulia ) akiangalia moja ya mfano wa dawati katika
hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye
lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua madwati 6000 kwa ajili
ya wanafunzi iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini
Dares Salaam.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba yake katika hafla ya chakula cha
jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh.
milioni 500 ili kuununua madawati 6000kwa ajili ya wanafunzi wenye
ukosefu wa vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dares Salaam.
Waziri
wa Nchi katika Ofisi ya Rais Mahusiano na Utaratibu ,Stephen Wassira
akitatangaza kiasi cha sh. milioni 17 kilichochangwa na wanabunda ajili
ya kuchangia madawati 6000ya wanafunzi wenye ukosefu wa madawati
nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar
Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo
iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwetewa pili kutoka (kulia) akiingia katika ukumbi
wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya chakula cha jioni
iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh.
milioni 500 ili kununua mawadati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa
vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini
Dares Salaam. Kulia wa kwanza ni Balozi Mwanaidi Maajar na kushoto ni
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete wan ne kutoka (kulia)akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wadau katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwenye
hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye
lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua mawadati 6000 ya
wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi
wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Naibu
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Christopher
Majaliwa(kushoto) akifurahia jambo kwenye hafla hiyo na Mstahiki Meya
wa Manispaa ya Ilala ,Jerry Silaa.
Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama akitangaza wizara
yake na taasisi zake ilivyochangia Sh.milioni 100.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimia na baadhi ya wageni waalikwa
katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwenye hafla ya chakula cha jioni
iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh.
milioni 500 ili kununua mawadati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa
vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini
Dares Salaam.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda wa akizungumza jambo na Jaji Mstaafu Joseph Warioba
hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye
lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo iliyofanyika
jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam kwa ajili ya
kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa madawati nchini.
Baadhi
ya wadau waliohudhulia kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa
na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili
kununua mawadati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo
iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Msanii
Mwasiti Almasi akituimbuiza na wasanii wenzake kutoka THI kwenye hafla
ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo
la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua mawadati 6000 ya wanafunzi
wenye ukosefu wa vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.