Msanii Jose Chameleone wa Uganda amekanusha habari zilizoandikwa mitandaoni kuwa amemuomba Diamond Platnumz kufanya collabo
" Siko
katika level ya kuomba collabo kihivyo, sio kwamba sina heshima yake
(Diamond) ila hiyo sio sahihi na haiwezi kuwa hivyo. Nimekuwa nikifanya
muziki kwa miaka 14 na mimi sio msanii mchanga wa kuhangaikia collabo"
amesema Jose Chameleon.