Hili ndilo sanduku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada
la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M
Watu
mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika
safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba
13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya ya
Mvomero mkoani Morogoro. Na Mroki Mroki-Father Kidevu Blog.
wanakwaya wakiimba katika misa hiyo.
wanafamilia wakiwa Kanisani katika misa.
Wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika misa hiyo leo.
Kaka wa Marehemu Charles Lengeju akiwa amebeba msalaba wa marehemu.
Gari lililobeba mwili wa marehemu Robert Lengeju likiwa tayari kwa safari ya Kipera Mkoani Morogoro.
Ndugu wa marehemu Robert Lengeju wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mdogo wao.
Heshima za mwisho ziliendelea kutolewa