SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA ZA ATHIMISHWA KANDA YA KASKAZINI
Posted by
woinde
on
Wednesday, November 26, 2014
in
Habari
MATUKIO
|
|
Wanaharakati
kutoka shirika la Kwieco la mkoani Kilimanjaro wakiwa katika maandalizi
ya maadhimisho ya siku 16 za kupingaukatili wa kijinsia. |
|
Maandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipita katika mitaa mbalimbali ya mji wa Moshi. |
|
Mkurugenzui wa shirika la KWIECO ,Elizabeth Minde (mwenye miwani myeusi) akiwa katika maandamano hayo. |
|
Brass
Band ya Chuo cha Polisi ikiongoza maandamano ya maadhimisho ya siku 16
za kupinga ukatili wa kijinsia kwa kanda ya kaskazini yaliyofanyika
mkoani Kilimanjaro. |
|
Maandamano
yakiingia katika viwanja vya manyema ambako maandamano hayo yalikomea
na kufuatia na burudani mbalimbali sanjari na hotuba toka kwa mgeni
rasmi. |
|
Afisa
habari wa shirika la KWIECO ,Veronica Ollomi akitoa maelezo juu ya
utendaji kazi wa shirika kwa mgeni rasmi Mtumwa Mwako alipotembelea bana
la shirika hilo . |
|
Afisa habari wa KWIECO ,Veronica Ollomi akitoa zawadi kwa mgeni rasmi Mtumwa Mwako. |
|
Mgeni
rasmi katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili,mganga mkuu wa
mkoa wa Kilimanjaro ,Mtumwa Mwako akipitia hotuba yake ,shoto kwake ni
mwenyekiti wa kamati ya maadhimisho ya siku hiyo , |
|
Mkuu
wa dawati la jinsia mkoa wa Kilimanjaro ,Mrakibu wa jeshi la Polisi
,Grace Lyimo pia alikuwa miongoni mwa washiriki wa maadhimisho ya siku
16 za kupinga ukatili wa kijinsia. |
|
Mwenyekiti
wa kamati ya maandalizi ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa
kijinsia ,Elizabeth Mushi akisoma risala mbele ya mgeni rasmi katika
maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya manyema mjini Moshi. |
|
Mgeni
rasmi katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa
kanda ya kaskazini ,Dk Mtumwa Mwako akitoa hotuba yake katika
maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Manyema. |
|
Mratibu
wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili kanda ya kaskazini ,Hilary
Tesha (katikatika)akijadiliana jambo na baadhi ya washiriki katika
maadhimisho hayo katika viwanja vya Manyema mjini Moshi. |
|
Wanaharakati
kutoka mashirika mbalimbali yanayopambana na vitendo vya unyanyasaji
pamoja na ukatili wa kijinsia katika mikoa ya Kilimanjaro ,Arusha na
Manyara wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi(hayupo pichani. |
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia