Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT MAGUFULI AZURU KABURI LA MAREHEMU SHEIKH ABEID AMANI KARUME, AWEKA SHADA LA MAUA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli
akitoka katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti
3, 2016 baada ya kuweka saini kitabu cha wageni kabla ya kuzuru na kuweka
shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli
akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika
ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
  Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Joseph Pombe Magufuli,  akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa
Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh
Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibar
leo Agosti 3, 2016.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe
Magufuli,  na viongozi wengine wakiomba dua bada ya kuweka shada la maua
kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao
Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe
Magufuli,  akiwa na Mama Fatma Karume baada ya kuweka shada la maua kwenye
kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui
mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.

Post a Comment

0 Comments