Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa
ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho
na uongozi wa Bandari

Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho
na uongozi wa Bandari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipungia wafanyakazi waliokuwa wakimshangilia wakati akitembelea bandari
ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana
na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho
na uongozi wa Bandari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa
ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho
na uongozi wa Bandari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa
ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho
na uongozi wa Bandari
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa
Meneja wa Kitengo cha Kontena wa Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha Bandarini ya
Tanzania International Container Terminal (TICTS) Bw. Donald
Talawa alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26,
2016
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa
Meneja wa Kitengo cha Kontena wa Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha Bandarini ya
Tanzania International Container Terminal (TICTS) Bw. Donald
Talawa alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26,
2016
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa mapendekezo kwa
Kampuni ya Ushushaji
Shehena ya makasha Bandarini ya Tanzania International Container
Terminal (TICTS)
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa
Meneja wa Kitengo cha Kontena wa Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha Bandarini ya
Tanzania International Container Terminal (TICTS) Bw. Donald
Talawa alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26,
2016
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa
Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini
kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es
salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo
kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu zoezi
la uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini
kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es
salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo
kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu zoezi
la uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini
kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es
salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akikagua sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta yanayoingia nchini
kutoka kwenye meli (Flow Meter) katika bandari ya Dar es

akitoa maelekezo kuangalia sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta
yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Flow
Meter) katika bandari
ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozwa na Mhandisi Mary
Mhayaya kuhusu akikagua mtambo wa uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini
kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es
salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa
Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu chumba cha mitambo ya uthibiti wa kiwango cha mafuta
yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika
bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 </
i>
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipata maelezo ya chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner) inayoingia nchini
katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26,

Wafanyakazi wa
bandari ya Dar es salaam wakimlaki kwa furaha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika kuongea nao baada ya
kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26,
2016
Mwenyekiti wa Wafanyakazi wa Bandarini Bw. Mashaka Karume
akieleza baadhi ya changamoto wanazokabiliana nazo mbele ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea
bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya
Dar es salaam leo Septemba 26, 2016

Wafanyakazi wa bandari ya Dar es salaam wakimsikiliza Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika
kuongea nao baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba
26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiaga baada ya kuongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea
bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwaaga wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es
salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono kuwaaga na wafanyakazi wa bandari baada ya