TIGO YATOA MSAADA WA MADAWATI 335 MKOANI SINGIDA

Mkuu wa Mkoa wa  Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akinyanyua  mikono juu na mkurugenzi wa  Tigo  kanda  kaskazini, George Lugata na Meneja wa  kandakaskaziniTigo, Aidan Komba.

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akipokea msaada wa madawati 335 yenye thamani ya milioni 56, toka kwa Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata kwenye makabidhiano yaliyofanyika katika viwanja vya mkuu wa mkoal eo.



Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akiwa ameketi kwenye dawati mara baada ya kukabidhiwa madawati 335 yenye thamani ya milioni 56, kulia ni  mkurugenzi  wa  Tigo  kanda  ya  kaskazini, George Lugata  na mwanafunzi wa shule ya  msingi Minga,AliSaidi.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post