Wasanii Barnaba na Nandy wakitoa burudani pamoja kwenye tamasha la Tigo Fiesta kwenye uwanja wa Majengo,Moshi mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana. |
Barnaba akiendeleza mtiriko wa burudani ya muziki mzuri |
Christian Bella naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta |
Maua Sama |
Wasanii Navy Kenzo wakitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Fiesta kwenye uwanja wa Majengo,Moshi mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana.
|
Nay wa Mitego akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta |
Msanii Sholo Mwamba akionyesha uhodari wake wa mtindo wa singeli kwenye tamasha la Tigo Fiesta uwanja wa Majengo, Moshi Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana.
|
Umati wa wakazi wa Moshi waliojitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta usiku wa jana |