MAFUNDISHO YA MCHUNGAJI DANIEL KULOLA KUONESHWA KWENYE KING'AMUZI CHA CONTINENTAL.

Usikose kufuatilia mahubiri na mafundisho ya Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, Dkt.Daniel Moses Kulola (kulia), kwenye runinga ya STAR RELIGION kupitia king'amuzi cha CONTINENTAL.

Ni kila jumapili saa moja jioni hadi saa mbili usiku na jumanne saa tina na nusu alasiri hadi saa kumi na nusu jioni kupitia kipindi cha Mlipuko wa Injili.

Maandalizi ya kipindi cha Mlipuko wa Injili yakiendelea ambapo kulia ni Mchungaji Dkt.Daniel Kulola na kushoto ni mwongozaji George Binagi
Kipindi hiki hukuletea mahubiri na mafundisho ya neno la Mungu yenye mwanga bora katika maisha yako
Ungana nasi kila jumapili saa moja jioni hadi saa mbili usiku na jumanne saa tina na nusu alasiri hadi saa kumi na nusu jioni kupitia kipindi cha Mlipuko wa Injili.

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.