Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akisalimiana na baadhi ya walimu wa shule ya sekondari ya Songea
Boys wakati wa ziara yake shuleni hapo ili kuona hali halisi ya
wanafunzi wenye mahitaji maalum Novemba 26, 2016 Mkoani Ruvuma.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akizungumza jambo na baadhi ya Watendaji wa Serikali katika Ofisi
ya Shule ya Sekondari ya Songea Boys alipotembelea kwa lengo la
kuangalia vituo na shule zinazohudumia watu wenye ulemavua Wilayani
Songea mkoa wa Ruvuma.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akizungumza na baadhi ya wanafunzi ya shule ya Sekondari ya Songea
Boys wakati wa ziara yake shuleni hapo Novemba 26, 2016.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi (wa tano kutoka kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wanafunzi na watendaji wa serikali mara baada ya kumaliza
ziara yake katika shule ya Songea Boys Mkoani Ruvuma.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akikabidhi vifaa saidizi (viti mwendo) kwa Mwalimu Mkuu Bw.John
Sweka wa Shule ya Msingi ya Luhira Wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma.
Baadhi
ya Watendaji wa Serikali wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi alipokuwa akizungumza
nao katika ziara yake shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalum ya
Luhira Songea.
0 Comments
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia