Mhe:Naibu Waziri Antony Mavunde Mapema ya leo akiongoza Jogging ya KM 8
Iliyo anzia Mlimani City na Kuishia katika Viwanja vya Leaders Club
Jijini Dar es Salaam leo
Mhe:Naibu Waziri Antony Mavunde Mapema ya leo akiongoza Jogging ya KM 8
Iliyo anzia Mlimani City na Kuishia katika Viwanja vya Leaders Club
Jijini Dar es Salaam leo
Vijana wa Club ya Jogging Temeke Wakiimba Nyimbo za Hamasa
Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi Vya Jogging Club Dar es salaam Charles P Malim Akisoma Risala Kwa Mgeni Rasmi
Naibu Waziri Ofisi Ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira Mhe:Antony Mavunde akihutubia katika Tamasha Hilo la Amani Jogging Katika Viwanja Vya Leaders Club |
0 Comments
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia