TIGO FIESTA YALISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM

MSANII wa muziki wa bongo fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’ (katikati) akiimba katika tamasha hilo.


MSANII wa muziki wa bongo fleva, Chege (kushoto) akilishambulia jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi.

MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade , akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.

NYOTA wa muziki wa bongo fleva nchini, Ali Kiba akilishambulia jukwaa katika tamasha la Tigo Fiesta

MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tekno, akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.

UMATI wa mashabiki wa burudani wakifuatilia tamasha hilo.


About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.